Sunday 9 November 2014

On 05:09 by Unknown   No comments
Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Rogassian Mahunnah.
Kutoka kushoto ni Kaimu Msajili wa tiba Asili Mboni Bakari, Mwenyekiti, Profesa Rogassian Mahunnah na Mfamasia Lucy Samweli.
BARAZA hilo limesema halitambui vipindi na matangazo yote ya tiba asili na tiba mbadala yanayoendelea kwa sasa kwenye vyombo vya habari nchini kwani ni batili yanapotosha na hayana vibali.
Baraza linawaomba wananchi kutokuamini huduma hizo ikiwamo za matumizi ya mashine za Quantim na zile za  kuondoa sumu mwilini, pamoja na  kuwataka waganga wanaotoa tiba hizo kujisajili ili kufanya kazi zao kihalali.
Hayo yamezungumzwa na Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Rogassian Mahunnah alipokuwa akizungmza na wanahabari katika Ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam.
Kujua mengi zaidi tembela www.atmetz.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment

Mkurugenzi wa Kampuni ya Boresa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Tiba Asili Tanzania Tabibu Boniventura Mwalongo akitoa salam za pongezi kumpongeza Mhe. DKT John Pombe Joseph Magufuli kwa Kuchaguliwa Kuwa Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mnamo tarehe 5 Novemba 2015 katika sherehe za kuapishwa kwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli

kipanya

Popular Posts