Friday, 25 July 2014

On 03:33 by Unknown   1 comment

TUJIKUMBUSHE YALE MAAJABU SABA YA DUNIA YA MWAKA 2007

Na Alberto sanga endelea......

7. Christ the Redeemer (Cristo Redentor)

Ni sanamu ya Yesu Kristo ambayo ipo katika Mji wa Rio de Janeiro, Brazil; ilijengwa kwa miaka mitano (5) kuanzia mwaka 1926 mpaka 1931. Ina urefu wa Futi 98 kwenda juu na uzito wa tani 635.

6.Taj Mahal



Taj Mahal ambayo iko Agra, nchini  India ujenzi wake ulikamilika mwaka 1652 baada ya miaka 22 ya ujenzi wake. Jengo hili lilijengwa na mtu aliyeitwa Shahab-ud-din Muhammad Shah Jahan, au  Shah Jehan, Shahjehan
5. Machu Picchu

 
Machu Picchu, inapatikana Cusco Region, Urubamba Province, Machupicchu District nchini Peru, pia iko juu ya milima. Ni wastani wa futi 7,970 kutoka usawa wa bahari na imepambwa na majengo zaidi ya 150 iki ni pamoja na mahekalu.
4. Chichen Itza

 
Maajabu haya yanapatikana katika manispaa ya  Tinum,nchini Mexico
3. Colosseum


P
Hili linapatika Rome, Italy
2. Petra




 
Petra ni mji wa kihistoria, ambao ni maarufu zaidi duniani kutokana na usanifu wake uliotokana na kuchngwa kwa miamba, mji huu wa kihistoria unapatikana takriban kilomita 262 kutoka south of Amman na kilomita 133 kutoka north of Aqaba.
1. Great Wall of China


1 comment:

Mkurugenzi wa Kampuni ya Boresa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Tiba Asili Tanzania Tabibu Boniventura Mwalongo akitoa salam za pongezi kumpongeza Mhe. DKT John Pombe Joseph Magufuli kwa Kuchaguliwa Kuwa Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mnamo tarehe 5 Novemba 2015 katika sherehe za kuapishwa kwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli

kipanya

Popular Posts