Sunday, 2 November 2014

On 01:59 by Unknown   No comments

Majani  Ya  Aloe Vera


Kama  unasumbuliwa  na  Malaria  Sugu  fuata  maelekezo  yafuatayo  kutayarisha  dawa  ya  asili.
                       MAHITAJI :
i.                               Majani  ya  mwarobaini kiasi  cha  viganja viwili  vya  mtu  mzima.
ii.                            Majani  ya  Aloevela  kiasi  cha  viganja  viwili  vya  mtu  mzima..
iii.                          Maji  safi  na  salama  lita  tatu.
                      Hatua  Za  Kufuata
Changanya  majani  ya  mwarobaini  na  alovela  kwenye  sufuria, kisha  ongeza  lita  tatu  za  maji   safi na  salama  halafu  chemsha  pamoja  mpaka  utakapo  ona  mchanganyiko  wako  unatoa  mchuzi  ama  soup. Ipua , chuja, kasha  ihifadhi  dawa  yako  kwenye  chupa  ya  chai.
                         MATUMIZI  :
Kunywa   kikombe  kimoja  cha  dawa  yako  mara  tatu  kwa  siku  kwa  muda  wa  siku  tatu  mfululizo  na  malaria  itapona.
                  ALTERNATIVELY   :
Vile vile  unaweza  kutumia  ndimu  na  maji  ya  madafu  kujitibu  malaria  sugu.
             MAHITAJI   :
i.                               Ndimu  Saba  Zilizo komaa  vizuri.
ii.                            Maji  Ya  Madafu.
            JINSI  YA  KUFANYA  :
Chukua  dafu, likate kisha  maji  yake  uyahifadhi  kwenye  jagi, halafu chukua  ndimu  saba, zikamulie  kwenye  maji  ya  madafu  halafu  koroga  mchanganyiko  wako.
                  MATUMIZI :
Kunywa  glasi  mbili  kwa  siku, asubuhi  glasi  moja  na  jioni glasi  moja. Fanya  hivyo  mpaka  malaria  itakapo  ondoka.
Ni  Matumaini yangu  kuwa, makala  haya  yatakuwa  na  manufaa  makubwa  sana   kwako.  Kwa  msaada  wa  Dawa  Za  Mimea na  Vyakula –Lishe, wasiliana  nasi  kwa

0 comments:

Post a Comment

Mkurugenzi wa Kampuni ya Boresa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Tiba Asili Tanzania Tabibu Boniventura Mwalongo akitoa salam za pongezi kumpongeza Mhe. DKT John Pombe Joseph Magufuli kwa Kuchaguliwa Kuwa Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mnamo tarehe 5 Novemba 2015 katika sherehe za kuapishwa kwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli

kipanya

Popular Posts