Tuesday, 8 July 2014
On 00:00 by Unknown No comments
FAIDA ZA PILIPILI KICHAA KIAFYA NA KITIBA
- Jamii nyingi hususa Marekani na bara la Asia wana historia ya kutumia
pilipili kichaa kama tiba.Ni dawa yenye nguvu sana na matumizi
mengi,hutumika sana kwa kusafisha damu na kutoa sumu mwilini,pia
hutumika kusisimua mzunguko wa damu na kuweka sawa uwiano wa
tindikali(acid)mwilini.Pilipili kichaa imetumika kwa maradhi
tofautitofauti ikiwemo
moyo,gauts,kupooza,homa,kikohozi,tonsilatis,kichefuchefu na hemorhoids
kwa miaka mingi huko Asia na mashariki ya mbali.
1.Kutibu
kidonda-Hii inaweza kuwa ni ajabu kwa walio wengi lakini ni tiba
liyothibitishwa na imekuwa ikitumika miaka kadhaa iliyopita katika nchi
mbalimbali.Sio tu kuzuia kutokwa na damu katika kidonda cha kujikata
kama ilivyozoea kutumiwa na wengi huko majumbani kwa miaka mingi bali
pia huzuia fangasi na bakteria kuingia katika uwazi wa kidonda hicho
hutumika pia kuondoa sumu mwilini 2.Hufanya mwili kuweza kutumia vyema virutubisho vipatikanavyo kutokana na chakula3.Husaidia uyeyushaji wa mafuta mwilini/Kuchoma mafuta4.Pilipili ina antioxidants muhimu kama beta carotene,ina wingi wa vitamini A,C na K hebu tuziangalie vitamini hizo: a.Vitamini A husaidia kuweka sawa kinga ya mwili pia hutukinga na kansa na magonjwa ya moyob.Kazi
ya vitamini C-ni kuzuia strock,magonjwa ya moyo,macho na kansa
mbalimbali.Miili ya binadamu haiwezi kujitengenezea vitamini C,hivyo
basi tunaweza kupata vitamini C kupitia chakula.c.Vitamini K-Husaidia katika ukuwaji wa mifupa,pia ni muhimu katika mzunguko wa damu.Pilipili zote huwa na Capsaicin ambayo kazi yake ni kupunguza maumivu,kuzuia kansa na magonjwa ya moyo.5.Inasaidia sana kusawazisha sukari kwenye damu6.Huwasaidia
watu wanene(over weight) au wanaougua ugonjwa wa kisukari.Hii ni kwa
mujibu wa watafiti katika chuo kikuu cha Tasmania uliochapishwa katika
American Joarnal of Clinical Neutition mwezi julai 2006.7.Inasaidia kwa kiasi kikubwa kudhibiti kwa kiasi kikubwa INSULIN kwa 60% baada ya kula chakula8.Husaidia kupunguza maumivu na uvimbe kwenye tezi na vilevile huwasaidia wagonjwa wa RHEMATOID na ARTHRITIS kupata nafuu9.Husaidia kuondoa mkusanyiko wa damu sehemu moja mwilini10.Husaidia kufungua kwa haraka na kwa ufanisi pua zilizoziba kwa mafua na kukufanya upumue kwa urahisi.11.Husaidia kupunguza uwezekano wa kupatwa na saratani ya utumbo.
12.Husaidia kuongezeka kiwango cha METABOLIC ambayo husaidia kuchoma mafuta13.Husaidia kuongezeka kwa kiwango cha METABOLIC kwa 23% ndani ya masaa matatu.14.Husaidia kupunguza cholestro na kupunguza kiasi cha fibrin katika damu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mkurugenzi wa Kampuni ya Boresa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Tiba Asili Tanzania Tabibu Boniventura Mwalongo akitoa salam za pongezi kumpongeza Mhe. DKT John Pombe Joseph Magufuli kwa Kuchaguliwa Kuwa Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mnamo tarehe 5 Novemba 2015 katika sherehe za kuapishwa kwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
kipanya
Popular Posts
-
TUJIKUMBUSHE YALE MAAJABU SABA YA DUNIA YA MWAKA 2007 Na Alberto sanga endelea...
-
habari zilizotufikia,Samaki huyu adimu kabisa duniani kumtia machoni ameonekana amefariki ama amekufa pembeni mwa ufukwe wa baha...
-
WAGANGA na wakunga wa tiba asili ni miongoni mwa watoa huduma za afya mbadala nchini ambapo wanaongozwa na sheria, mila, desturi na tarati...
-
WATAALAMU WA TIBA ASILI WAKUTANA CHINI YA JUKWAA MOJA; WAONYESHA UMAHIRI KATIKA TIBA ASILI NA MBADALA Mratibu wa Jukwaa la Tiba Asil...
-
FAHAMU KUHUSU TIBA A SILIA YA KUUNGANISHA MIFUPA Watu wengi wanao pata ajali za barabarani na kuvunjika viungo ...
-
WASHIRIKI katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Tiba Asili ya Mwafrika yatakayofanyika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Sal...
-
Archeological and modern genetic evidence suggest that human populations have migrated into the Indian subcontine...
-
AGOSTI 31 mwaka huu kulikuwa na Maadhimisho ya Siku ya Tiba Asili ya Mwafrika yaliyofanyika Zanzibar katika viwanja vya Bustani ya Vi...
-
· Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa · Afisa Maendeleo wa Mtaa · Mwenyekiti wa Kamati ya Afya na Mazingira · ...
0 comments:
Post a Comment