Monday, 7 July 2014

On 23:48 by Unknown   No comments
Mwenyekiti wa Chama cha Watabibu wa dawa  za Asili Tanzania (ATME) Bw.Simba A. Simba  akifungua mkutano wa majumuisho ya maoni ya Rasimu ya katiba mpya yaliyotolewa na wanachama wa Tiba asilia kupitia mabaraza ya asasi  Hoteli ya Twins Park wilaya ya Bagamoyo.
Mwenyekiti wa Chama cha Watabibu wa dawa  za Asili Tanzania(ATME) Bw.Simba A. Simba  akifungua mkutano wa majumuisho ya maoni ya Rasimu ya katiba mpya yaliyotolewa na wanachama wa Tiba asilia kupitia mabaraza ya asasi  Hoteli ya Twins Park wilaya ya Bagamoyo.
Mwanasiasa Mkongwe nchini Bw.Kingunge Mwilu akisisitiza jambo wakati wa majumuisho ya maoni ya Rasimu ya katiba mpya yaliyotolewa na wanachama wa Tiba asilia kupitia mabaraza ya asasi katika Hoteli ya Twins Park wilaya ya Bagamoyo, kushoto ni Mwenyekiti wa chama hicho Bw.Simba A. Simba. 
Mwanasiasa Mkongwe nchini Bw. Kingunge Mwilu akisisitiza jambo wakati wa majumuisho ya maoni ya Rasimu ya katiba mpya yaliyotolewa na wanachama wa Tiba asilia kupitia mabaraza ya asasi Hoteli ya Twins Park wilaya ya Bagamoyo
Mwanasiasa Mkongwe nchini Bw.Kingunge Mwilu akimkabidhi cheti mmoja wa Matabibu wa tiba asilia Bw. Juma Juma wakati wa majumuisho ya maoni ya Rasimu ya katiba mpya yaliyotolewa na wanachama wa Tiba asilia kupitia mabaraza ya asasi  Hoteli ya Twins Park wilaya ya Bagamoyo wa kwanza  kushoto ni Boniventure Mwalongo Maratibu,wa pili kushoto Bw Adamu Chamwamba mwenyekiti Mkoa wa Pwani na wa tatu kushoto ni Mwenyekiti wa chama hicho Bw. Simba Simba.
Mwanasiasa Mkongwe nchini Bw.Kingunge Mwilu akimkabidhi cheti, Abba Ahmed Faqi ambaye Tabibu wa tiba asilia wakati wa majumuisho ya maoni ya Rasimu ya katiba mpya yaliyotolewa na wanachama wa Tiba asilia kupitia mabaraza ya asasi  katika Hoteli ya Twins Park wilaya ya Bagamoyo kwanza  kushoto Bw. Adamu Chamwamba mwenyekiti Mkoa wa Pwani,katikati  ni Mwenyekiti wa chama hicho Bw.Simba A. Simba.
Mwanasiasa Mkongwe nchini Bw.Kingunge Mwilu  katika waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Tiba Asilia pamoja na Matabibu waliotunukiwa vyeti wakati wa majumuisho ya maoni ya Rasimu ya katiba mpya yaliyotolewa na wanachama wa Tiba asilia kupitia mabaraza ya asasi  katika Hoteli ya Twins Park wilaya ya Bagamoyo kwanza  kushoto Bw. Adamu Chamwamba mwenyekiti Mkoa wa Pwani, katikati  ni Mwenyekiti wa chama hicho Bw.Simba A. Simba.
Wanachama na matabibu wa Tiba Asilia nchini wakifuatilia jambo kutoka kwa mgeni rasmi  Mwanasiasa Mkongwe nchini Bw.Kingunge Mwilu  wakati wa majumuisho ya maoni ya Rasimu ya katiba mpya yaliyotolewa na wanachama hao  kupitia mabaraza ya asasi  Hoteli ya Twins Park wilaya ya Bagamoyo kwanza  kushoto Bw. Adamu Chamwamba mwenyekiti Mkoa wa Pwani,katikati  ni Mwenyekiti wa chama hicho, Bw. Simba A. Simba. (Picha zote na Lorietha Laurence-Maelezo)

0 comments:

Post a Comment

Mkurugenzi wa Kampuni ya Boresa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Tiba Asili Tanzania Tabibu Boniventura Mwalongo akitoa salam za pongezi kumpongeza Mhe. DKT John Pombe Joseph Magufuli kwa Kuchaguliwa Kuwa Raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mnamo tarehe 5 Novemba 2015 katika sherehe za kuapishwa kwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli

kipanya

Popular Posts